~Nina kiwanja mapinga nauza mil3.8 sqm 600 nina kiwanja bunju robo heka nauza mil 8.5
~nina kiwanja heka 1 lugwadu k/gmbon jirani na mjukuu wa sapi mkwawa nahtaji mil 10 mnaweza mkachanga na mwenzako mkagawana nusu heka.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
Nitafyta kiwanja /shamba maeneo ya kigamboni au bagamoyo bajeti yangu ni tsh 5 million
Nitafyta kiwanja /shamba maeneo ya kigamboni au bagamoyo bajeti yangu ni tsh 5 million
ni pm namba yako.. Nna kiwanja. Bagamoyo
Bunju ipi? na cha mapinga kipo kijijini au nje~Nina kiwanja mapinga nauza mil3.8 sqm 600 nina kiwanja bunju robo heka nauza mil 8.5
~nina kiwanja heka 1 lugwadu k/gmbon jirani na mjukuu wa sapi mkwawa nahtaji mil 10 mnaweza mkachanga na mwenzako mkagawana nusu heka.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
kiwanja kinauzwa kipo kigambon mikwambe kipo
karibu kabisa na kwa mizengo pinda kiwanja kina
ukubwa wa miguu ishirini ya mtu mzima kwa
mapana na marefu kipo kwenye mtaa ni kiwanja
cha kawaida yani hakijapimwa.bei ya kawaida tu
wasiliana nami 0656 25 18 74
Nitafyta kiwanja /shamba maeneo ya kigamboni au bagamoyo bajeti yangu ni tsh 5 million
kiwanja kinauzwa kipo kigambon ToangomaNitafyta kiwanja /shamba maeneo ya kigamboni au bagamoyo bajeti yangu ni tsh 5 million
Ebu fafanua hapo sijakuelewa,hiyo nyumba mnajenga nyinyi au mnamkopesha mtu? Je kiwanja lazima kiwe chenu au hata mtu anaweza akajenga kwenye kiwanja chake na mkamkopesha? Mkopo wa nyumba mnatoa tsh ngapi?D) *Ujenzi* wa nyumba za aina zote na za kisasa kwa mkopo wa miezi 12(mwaka mmoja), gharama zetu ni nafuu sana........!
Utalipa 25% ya gharama zote na hyo 75% iliyobaki itagawanywa ktk miezi 11 iliyobaki kukamilisha mwaka mzima.
Miguu ya Hasheem Thabeet au Emolo maana wote ni watu wazima.kiwanja kinauzwa kipo kigambon Toangoma
Kwa Sako. kipo karibu kabisa na kwa Kelvin
Yondani na Mwinyi Kazimoto. kiwanja kina
ukubwa wa miguu ishirini ya mtu mzima kwa
mapana na marefu kipo kwenye mtaa ni kiwanja
cha kawaida yani hakijapimwa.bei ya kawaida tu
na unaweza lipia hadi awamu nne.
wasiliana nami :0713-039875
Ebu fafanua hapo sijakuelewa,hiyo nyumba mnajenga nyinyi au mnamkopesha mtu? Je kiwanja lazima kiwe chenu au hata mtu anaweza akajenga kwenye kiwanja chake na mkamkopesha? Mkopo wa nyumba mnatoa tsh ngapi?
Okay nimekuelewa Cutebrown.Kampuni inatoa huduma ya ujenzi kwa mkopo yaani unakua Na kiwanja chako au Nyumba unayohitaji imaliziwe kujengwa unafika offcn unapewa maelekezo Na utalazimika kupewa fundi wakufanya makadirio ya gharama za ujenz huo kisha utajulishwa gharama zote Na ndipo utapewa mchanganio WA ulipaji.utalipa kwa awam hata miaka miwili au zaid kufatana na ukubwa wa garama husika.katika pesa ya ujenzi utatakiwa kuongeza Apo 14% ambayo ndio riba ya huduma ya ujenzi utakao jengewa.mwez wa kwanza ukishatanguliza malipo ya awali ndipo ujenzi utaanza.ujenz utakamilika ndani ya miez miwil au mitatu au zaid endapo kazi Ni kubwa.utakabidhiwa nyumba wakat unaendelea kumalizia malipo ya huduma hiyo
Okay nimekuelewa Cutebrown.