Natafuta Kiwanja/Nyumba - Mwanza

Natafuta Kiwanja/Nyumba - Mwanza

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
7,452
Reaction score
3,073
Natafuta kiwanja KILICHOPIMWA TU saizi yoyote katika jiji la mwanza. kama unacho kiwanja andika kwa edithalongo@yahoo.com

Saizi yake (upana kwa urefu), maeneo, bei na simu yako
Kama ni nyumba weka picha zake pia, idadi ya vyumba, iwe ya kisasa, eneo la kiwanja etc

Asante
 
Kwani ili kujibu swali hilo unahitaji kujua mdau ana sh ngapi? hukawii kuanza makeke, kama una bidhaa tajwa weka wazi sifa zake na kila kitu. Fedha utapata tu wahitaji wa viwanja ni wengi pia.
 
Kama vipi inbox kwenye email hiyo juu, mbona sioni kitu.
 
Wengi tunataka kuuza na wengine kununua, hivi wana JF how i upload the house photo into this page?
 
mkuu , naomba nikufanyie hiyo kazi nina network ya kutosha , ni sms 0657145555. ili nipate number yako . kisha nitakujulisha bei ya nyumba na viwanja vilivyopo sokoni pale mwanza. hiyo ndiyo kazi yangu
 
Natafuta kiwanja KILICHOPIMWA TU saizi yoyote katika jiji la mwanza. kama unacho kiwanja andika kwa edithalongo@yahoo.com

Saizi yake (upana kwa urefu), maeneo, bei na simu yako
Kama ni nyumba weka picha zake pia, idadi ya vyumba, iwe ya kisasa, eneo la kiwanja etc

Asante

Nimekutumia ujumbe kwenye email yako tangu asubuhi lakini hujajibu mpaka muda huu, pls check ur inbox!
 
Back
Top Bottom