Natafuta kiwanja mwanza

Natafuta kiwanja mwanza

Naka boy

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
321
Reaction score
110
Jamani mimi nahitaji kiwanja katika jiji la mwanza sio lazima katikati ya mji hata nje ya mji kisizidi Tsh 1,500,000/=
 
mkuu kwa mwanza for now offer yako ni ndogo sana sio rahisi kupata kwa hiyo bei
 
Tafuta walau milioni 6 upate kilichopimwa acha hivyo vya migogoro
 
Jamani mimi nahitaji kiwanja katika jiji la mwanza sio lazima katikati ya mji hata nje ya mji kisizidi Tsh 1,500,000/=

Unalijua vizuri Jiji la Mwanza Mkuu? Kwa Sh. 1,500,000/= kilichopimwa? Kwa bei hiyo jaribu kutoka kidogo nje ya Mwanza, Mf. Usagara, Missungwi, Kisesa, n.k. Anyway, nisikukatishe tamaa, we never know!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom