pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
Habar wakuu natafuta kiwanja cha kujrnga Nyumba ya vyumba vinne, chooo bafu,sebule, dining, pia pabaki nafasi ya paking na garden bajey yangu ni mil moja na nusu maeneo nyegez,buhongwa igoma,na maeneo mengine yenye hifuma za kijamii kwa yeyote anaruxa plz inbox maelezo