Esther Kimario
Member
- Nov 17, 2011
- 62
- 13
Habari za kazi wana jamvi. Ninatafuta kiwanja kilichopimwa mbeya mjini. Bajeti yangu ni shilingi milioni nne. (4M) Mwenye taarifa ani- PM tafadhali
Asante ndugu yangu Mokoyo... Najua angeweza kuwa msaada lakini pia nafikiri yeye kama mbunge anapaswa kuhusika zaidi na matatizo yanayogusa jamii kuliko mtu mmoja mmoja. (Najua mi ni shehemu ya jamii hiyo) but mh! ngoja tumwachie majukumu yanayogusa population iliyo kubwa ya wakazi wa mbeya