K KIJANA2013 JF-Expert Member Joined Jan 21, 2013 Posts 466 Reaction score 201 Jul 15, 2015 #1 Habari wana JF, Natafuta kiwanja maeneo ya Mbweni, ukubwa wakiwanja kisipungue 50 x 50 na zaidi. Kwa anayeuza ani pm please
Habari wana JF, Natafuta kiwanja maeneo ya Mbweni, ukubwa wakiwanja kisipungue 50 x 50 na zaidi. Kwa anayeuza ani pm please
Super Handsome JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 3,844 Reaction score 6,469 Jul 15, 2015 #2 KIJANA2013 said: Habari wana JF, natafuta kiwanja maeneo ya Mbweni, ukubwa wakiwanja kisipungue 50 x 50 na zaidi. Kwa anayeuza ani pm please Click to expand... Mtafute GENTAMYCINE alikua anafanya udalali maeneo ya Malindi Mbweni na aliwahi kupost humu..akibisha niite! Uzi wake huu hapa aliandika October nadhani 2013 huyu ni dalali wakuitwa GENTAMYCINE https://www.jamiiforums.com/matanga...nja-kizuri-kinauzwa-mbweni-beach-malindi.html Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KIJANA2013 said: Habari wana JF, natafuta kiwanja maeneo ya Mbweni, ukubwa wakiwanja kisipungue 50 x 50 na zaidi. Kwa anayeuza ani pm please Click to expand... Mtafute GENTAMYCINE alikua anafanya udalali maeneo ya Malindi Mbweni na aliwahi kupost humu..akibisha niite! Uzi wake huu hapa aliandika October nadhani 2013 huyu ni dalali wakuitwa GENTAMYCINE https://www.jamiiforums.com/matanga...nja-kizuri-kinauzwa-mbweni-beach-malindi.html
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,449 Reaction score 127,624 Jul 15, 2015 #3 Super Handsome said: Mtafute GENTAMYCINE alikua anafanya udalali maeneo ya Malindi Mbweni na aliwahi kupost humu..akibisha niite! Uzi wake huu hapa aliandika October nadhani 2013 huyu ni dalali wakuitwa GENTAMYCINE https://www.jamiiforums.com/matanga...nja-kizuri-kinauzwa-mbweni-beach-malindi.html Click to expand... Ile Mimba Niliyoenda Kukutoa Jana Hapo Kawe Kwa Dokta Komba Bado Inakusumbua Tu? Vipi Zile Dawa Bado Unazo au Zimeisha? Pole Sana.
Super Handsome said: Mtafute GENTAMYCINE alikua anafanya udalali maeneo ya Malindi Mbweni na aliwahi kupost humu..akibisha niite! Uzi wake huu hapa aliandika October nadhani 2013 huyu ni dalali wakuitwa GENTAMYCINE https://www.jamiiforums.com/matanga...nja-kizuri-kinauzwa-mbweni-beach-malindi.html Click to expand... Ile Mimba Niliyoenda Kukutoa Jana Hapo Kawe Kwa Dokta Komba Bado Inakusumbua Tu? Vipi Zile Dawa Bado Unazo au Zimeisha? Pole Sana.
Kamjingijingi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2009 Posts 806 Reaction score 129 Jul 15, 2015 #4 Mie ninacho Mbwen kwakomba
peterlvitalis92 Member Joined Jul 15, 2015 Posts 53 Reaction score 12 Jul 16, 2015 #5 mmh haya wakukuu
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,812 Reaction score 94,920 Jul 16, 2015 #6 Una hela? 50 kwa 50 ni zaidi ya 150m.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,626 Jul 16, 2015 #7 King Kong III said: Una hela? 50 kwa 50 ni zaidi ya 150m. Click to expand... Hii ni beach plot?
Super Handsome JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 3,844 Reaction score 6,469 Jul 16, 2015 #8 GENTAMYCINE said: Ile Mimba Niliyoenda Kukutoa Jana Hapo Kawe Kwa Dokta Komba Bado Inakusumbua Tu? Vipi Zile Dawa Bado Unazo au Zimeisha? Pole Sana. Click to expand... Acha kuchafua watu boya wewe!
GENTAMYCINE said: Ile Mimba Niliyoenda Kukutoa Jana Hapo Kawe Kwa Dokta Komba Bado Inakusumbua Tu? Vipi Zile Dawa Bado Unazo au Zimeisha? Pole Sana. Click to expand... Acha kuchafua watu boya wewe!