Strategizt
Senior Member
- Oct 16, 2009
- 179
- 34
Budget yangu ni 20million mwenye nacho anipigie no. 0715 29 27 31
Kiwe na hati
Kiwe na hati
Mimi ninacho lakini kipo salasala kinzudi karibu na shule ya rightway primary academy. Hakijapimwa lakini bei yake ni ml 14,500,000 lakini tunaweza kukipima tukiafikiana bei. Namba yangu ni 0755 55 14 59
unataka cha sqm ngapi , mimi ninavyo vingi 2 nipigie tuongee 0657 145555
nashukuru ndugu yangu , sema mtu mwenyewe hapokei cm unajua maelezo hayajakamilikaNdiyo nilikuwa nataka nikumention nikwambie kaka kazi hiyo. Kumbe mwenyewe upo makini sana.
Mkuu kina ukubwa gani hicho kiwanja chako???maana napapenda salasala nataka nijue ukubwa kwanza kabla ya kufunga safari kuja kukiona.
45million nikupe tegeta mivumoni. kuna matofali 2000 mashimo yote ya maji taka tayari
Mimi ninacho lakini kipo salasala kinzudi karibu na shule ya rightway primary academy. Hakijapimwa lakini bei yake ni ml 14,500,000 lakini tunaweza kukipima tukiafikiana bei. Namba yangu ni 0755 55 14 59
nashukuru ndugu yangu , sema mtu mwenyewe hapokei cm unajua maelezo hayajakamilika
45million nikupe tegeta mivumoni. kuna matofali 2000 mashimo yote ya maji taka tayari