rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 180
- 152
Wandugu,
Kama kuna mtu anauza kiwanja chenye hati maeneo ya Salasala, Wazo, Makongo juu, Boko au Goba naomba ani PM tufanye biashara. Ningepende kiwanja kiwe kimepimwa. Bejeti yangu ni chini ya 8m.