malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,323
- 529
Njoo pmwanajamvi naomba anayefahamu kiwanja kizuri kilichopimwa maeneo ya Pugu, gongo la mboto, mbezi, kinyerezi, kimara KIWE SEHEMU NZURI SIYO BONDENI NA KIWE SIYO MBALI SANA NA BARABARA NA KIWE KINAFIKIKA MUDA WOTE WA MWAKA.
Wanajamvi,
Naomba anayefahamu kiwanja kizuri kilichopimwa maeneo ya Pugu, Gongo la Mboto, Mbezi, Kinyerezi, Kimara. Kiwe sehemu nzuri siyo bondeni na kiwe siyo mbali sana na barabara na kiwe kinafikika muda wote wa mwaka.
Ninacho Goba 47x30 mkuu kipo Goba dakika 5 kwa gari hadi masana na dakika 2 hadi barabara ya lamiWanajamvi,
Naomba anayefahamu kiwanja kizuri kilichopimwa maeneo ya Pugu, Gongo la Mboto, Mbezi, Kinyerezi, Kimara. Kiwe sehemu nzuri siyo bondeni na kiwe siyo mbali sana na barabara na kiwe kinafikika muda wote wa mwaka.
KIMEPIMWA?Ninacho Goba 47x30 mkuu kipo Goba dakika 5 kwa gari hadi masana na dakika 2 hadi barabara ya lami
Nimekipima mkuu kina mawe na hati ya umiliki toka serikali ya mtaa..ni sehemu nzuri sana na kumejengwa vizuri mnoKIMEPIMWA?
BEI MKUU KAMA HUTOJALINimekipima mkuu kina mawe na hati ya umiliki toka serikali ya mtaa..ni sehemu nzuri sana na kumejengwa vizuri mno
Tuwasiliane mkuu PMBEI MKUU KAMA HUTOJALI