Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,505
- 6,903
natafuta kiwanja kilichopimwa kigamboni kati ya kibada, mikwambe, mji mwema, kibugumo, gezaulole, na maeneo ya jirani. sharti kiwe kimepimwa. kama unacho au dalali nifuate pm.
Asanteni, nipo serious sitaki jokes
Bajeti 15mil
Mkuu njoo nkuzie cha dege kile surveyed kiko, namba ya sm nishakupa tuwasiliane uje ofisini kwangu tuzungumze zaidi.Wadau jitokezeni
Mkuu njoo nkuzie cha dege kile surveyed kiko, namba ya sm nishakupa tuwasiliane uje ofisini kwangu tuzungumze zaidi.
Nkuone she na mchoro pia
Mkuu Geza kipo kimepimwa.Mkuu kwa matumizi yangu naona Dege mbali kidogo angalau mwisho geza kwa njia hiyo
Mkuu Geza kipo kimepimwa.
Mimi nataka gezaulole bgt 10mil, sqm 800-100