Natafuta Kiwanja Kibada.

Natafuta Kiwanja Kibada.

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,017
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,
Natafuta kiwanja maeneo hayo,
Kiwanja kiwe kimepimwa,kiwe na hati ya serikali.
Ukubwa kuanzia sq mtrs 1000 na kuendelea.
Kiwe tambarare kabisa.
Kiwe block nzuri.
Kisiwe na mgogoro,
Dalali haitajiki.
Bei ni maelewano kati yangu na muuzaji.
Mwenyenacho tuwasiliane kwa PM.
Wasalaam.
 
Lazima kiwe kibada? Mwongozo je? Ni kupita mjimwema kuelekea kimbiji
Kipaumbele ni Kibada mkuu.Hicho cha Mwongozo kipo Km ngapi kutoka mji mwema?Na kina ukubwa gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom