Natafuta Kiwanja Goba

Natafuta Kiwanja Goba

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Wakuu,

Natafuta Kiwanja maeneo ya Goba, kisiwe umbali unaozidi kilomita tatu kutoka barabara inayoenda Mbezi Mwisho.

Kisipungue ukubwa wa square metre 900, buget yangu ni milioni 15.

Madalali ni watu wa muhimu lakini kwa wakati huu sita wahitaji.

Mwenye nacho aje PM tuzungumze
 
kipo saisai unapita njia nne kama unakuja mbezi (kwenye sheli)
sqm 625 (25*25)
price: 16m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom