Mr HEISENBERG
Senior Member
- Sep 6, 2017
- 149
- 133
Kiwanja kwa ajili ya makazi maeneo ya mipango kinahitajika 900square meters
Shs ngapi?Kuna kiwanja kipo Michese Dodoma kama unapafahamu kinauzwa bei poa vp uko tayar tuongee bei
sqm1000 kimeshapimwa maeneo ya Mtumba, bei anauza million 10Shs ngapi?