Natafuta kiwanja Dodoma

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
39,981
96,229
Kwa bei isiyo zidi 3m pesa ya Tz.
Kisiwe zaidi ya 10 kutoka Dodoma Town.
Pawe panafikika kwa motokari.
Mwenye nacho, naomba tuwasiliane pm tafadhali
 
Huku mambo yamekua mambo..... Hutangazwa kuhamia huku kumeleta hali ya viwanja kupanda sana bei! Kiwanja kikubwa hata robo heka unapata kwa bei hio ila pembezoni kama ntyuka ( uelekeo wa udom) au mkonze ( uelekeo wa iringa) na kwingne kunakofanana na huko. Ila hapa mjin ndan ya km10 cjuuuui ndugu yangu
 
Ila mm sio mzoefu sanaa. Ila ivo ndivo ninavofahamu. Na last week nimepata kwa 2m huko uelekeo wa iringa. Si mbali sana ila ni zaidi ya 10 kms. Tho daladala zinafika huko
 
mkuu ondoa shaka kiwanja umepata na kipo karibu na mjini sasa inabidi utume vocha kidogo ili nikupigie namba yako ninayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom