dodoma usiniPM
chako kweli??NINACHO MWANZA--MAENEO YA BUHONGWA RELINI...1..25*22 M...NI SH 15 MILLION NA KINGINE 35*20=18 MILLION
Ninacho Dodoma,kimepimwa kienyeji 35m×65m kwa 6M.
cheki message nimekupmHabar zenu wana JF, Natafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga nyumba vyumba 3,choo&bafu, jiko na dining na sitting pia kibaki na nafasi ya parking na garden. Kiwanja kiwe maeneo yoyote ya Dodoma au Mwanza