yuda75 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2020 Posts 520 Reaction score 1,403 Mar 9, 2021 #1 Habarini natafuta kiwanja Dar es Salaam maeneo ya Kibamba, Goba kiwe kizuri si ndani sana wala mbali sana. Bajeti milioni 5. Kwa mwenye nacho aniambie.
Habarini natafuta kiwanja Dar es Salaam maeneo ya Kibamba, Goba kiwe kizuri si ndani sana wala mbali sana. Bajeti milioni 5. Kwa mwenye nacho aniambie.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,701 Reaction score 41,864 Mar 9, 2021 #2 Duuh..m5 hata magwepande hupati. #MaendeleoHayanaChama
Y Yajoh Member Joined Jun 5, 2020 Posts 31 Reaction score 27 Mar 14, 2021 #3 yuda75 said: Habarini natafuta kiwanja Dar es Salaam maeneo ya Kibamba, Goba kiwe kizuri si ndani sana wala mbali sana. Bajeti milioni 5. Kwa mwenye nacho aniambie. Click to expand... Ninacho changu mwenyewe kipo Kiluvya makurunge bei ni mil 3, mita 20×20 , bodaboda 2000 hadi sites kuanzia kiluvya madukani Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
yuda75 said: Habarini natafuta kiwanja Dar es Salaam maeneo ya Kibamba, Goba kiwe kizuri si ndani sana wala mbali sana. Bajeti milioni 5. Kwa mwenye nacho aniambie. Click to expand... Ninacho changu mwenyewe kipo Kiluvya makurunge bei ni mil 3, mita 20×20 , bodaboda 2000 hadi sites kuanzia kiluvya madukani Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
M Mwambe Og Member Joined Jun 24, 2022 Posts 39 Reaction score 21 Jun 25, 2022 #4 jiwe angavu said: Duuh..m5 hata magwepande hupati. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Panda kidogo nikupe Goba
jiwe angavu said: Duuh..m5 hata magwepande hupati. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Panda kidogo nikupe Goba