rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 180
- 152
Mbona husemi una shi ngapi mkuu?Wandugu natafuta kiwanja Maeneo ya Kimara, Salasala, Tegeta, Goba , Makongo juu, Madale .
Kiwanja kiwe na ukubwa wa zaidi ya sqm1000.
Mwenye nacho ani DM tuongee bei.
Wandugu natafuta kiwanja Maeneo ya Kimara, Salasala, Tegeta, Goba, Makongo juu, Madale.
Kiwanja kiwe na ukubwa wa zaidi ya sqm1000.
Mwenye nacho ani DM tuongee bei.
Mbona balaa... inaanzia sh ngapi?Sqm 1800
Kwa offer hiyo na hizo locations ni ngumu mkuu.
Pesa ipo ndio maana nikaweka tangazo budget chini ya 15m.Unataka sqm 1000 una hela?
Huko andaa kuanzia 40mNaweza kipata sqm 1,800? Budget yangu ni 30m.
Goba, mbezi, kijichi?
Kuna Nyumba inauzwa ipo kwenye Square metre 900 kwa mil 35.Wandugu natafuta kiwanja Maeneo ya Kimara, Salasala, Tegeta, Goba, Makongo juu, Madale.
Kiwanja kiwe na ukubwa wa zaidi ya sqm1000.
Mwenye nacho ani DM tuongee bei.
Pesa ipo ndio maana nikaweka tangazo budget chini ya 15m.
Asante mkuu. TunajipangaHuko andaa kuanzia 40m
Mkuu Habari, offer yako bado ile ile 5m?
Maana ni kitambo sana toka thread za mwaka 2016 unatafuta kiwanja kwenye hayo maeneo.
My advice.
Kwa hayo maeneo na kwa ukubwa wa kiwanja unachohitaji (sqm 1000+) kwa budget si chini ya 30m+ (hapo ni unsurveyed plot, kama ni surveyed ni 40m+).
Ukitoa kimara ndio unaweza kupata kwa 15m. Kama offer yako bado inacheza Kwenye 5m jaribu kubadilisha location... Mfano kibamba, kibaha, Kigamboni etc.