Natafuta kiwanja Dar es Salaaam

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,321
Reaction score
13,765
Wakuu natafuta kiwanja 25*30 au 30*30 kusiwe mbali sanaa na City center angalau 16-22km
 
Kuna viwanja vya serikali kigamboni vyenye uhakika.
 
Kuna kiwanja kipo mbezi mwisho msakuzi 30 *33 ,kimepimwa mil 11
 
Wakuu natafuta kiwanja 25*30 au 30*30 kusiwe mbali sanaa na City center angalau 16-22km
Nauza kiwanja kizuri sana Kigamboni Dege Mtaa wa tatu kutoka Lami
Viwanja maneo hayo vyote vimepimwa.
Ukubwa 650 SQM

Bei Tsh 12m

Maongezi zaidi 0756060183
 
Hamna biashara hapa ongeleni madalali kwa kujitokeza
 
Wakuu natafuta kiwanja 25*30 au 30*30 kusiwe mbali sanaa na City center angalau 16-22km
Ni vyema ukaweka wazi kiwanja unakihitaji kwa lengo gani? Ujenzi wa makazi ya kuishi au ujenzi majengo ya biashara
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…