Natafuta kiwanja chenye hati max 40.0M

Natafuta kiwanja chenye hati max 40.0M

mapsony1

Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
6
Reaction score
2
Kiwanja hicho kiwe na zaidi ya sqm 1,000 pia kiwe na Hati. Na kiwepo maeneo ya Tegeta,Boko,Bunju na Mbweni. 0716-949344
 
Kiwanja hicho kiwe na zaidi ya sqm 1,000 pia kiwe na Hati. Na kiwepo maeneo ya Tegeta,Boko,Bunju na Mbweni. 0716-949344
Ninacho 1500 sqm kipo mbweni mpigi na kina hati yaani Title did 99 years bei ya mwenyew 40m ongeza ya Dalali 10%
 
Kitunda Magole(Kiwanja)

Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo. 20 X 20 Miguu.

8.6Kms from Banana.

Bei: 6.0M

Contact: 0654-098028
0626-684173

ImageUploadedByJamiiForums1470933422.124037.jpg
 
Chanika Mjini-Mwisho(Videte)

20X20Miguu, kwa 5.0M.

Umeme na Maji hapo hapo.
Kutoka Barabara ya Lami, 0.6Km.
Pamepimwa kienyeji vizuri sana.

Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana .

1.6Km toka Hapo Chanika Stand.



ImageUploadedByJamiiForums1470933651.486151.jpg
 
Mwenyewe kashajieleza anapotaka maeneo Ya beach
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom