Natafuta kiwanja kuanzia sqm 350 kuwndelea kwa ajili ya makazi kuanzia maeneo ya kibaha kwa matias kwenda hadi kiluvya pande zote pia hadi vikawe. Kilichopimwa au hakijapimwa.
Acha unafiki uende mbinguni! Unaonekana hata milion 5 huijui. Mleta mada kwa maeneo uliyotaja na kwa size uliyosema, utapata tu very soon, asikutishe mtu!