Natafuta kiwanja cha kununua

Kibaha kwa mathiasi sq 1600 ml 6. Hapo kuna za dalali km lk 5 HV. Nikushawishi ubadili wazo uje kibaha tafadhal
 
Mtoni kijichi kipo kina view mkondo wa bahari na kina 2000sqm na kina leseni ya makazi(residential licence ) bei 60mil maongezi yapo ni pm
 
Ninavyo viwili mpiji darajani,mapinga eneo la MINGOI.UMEME na maji vipo.1km drive from Bagamoyo Road.
Plot 1:sqm 2100@TZS 35milion
Plot 2:sqm 1575@ TZS 18 million.
Note:Havijapimwa na maongezi yapo.
Cont:0754 856277
 
Tabata relini karibu na St Mary's college na kina square m 1600 pia kina hati,kama una milioni 300 uje na mazungumzo yapo
Million 300 kiwanja tu, ina maana 300m Tabata huwezi kupata nyumba?
 
Kipo cha Jangwani karbu na parkng ya mwendokasi
 
aunty kemmy,kwa uzoefu wangu wa kujenga madale,mivumoni,bunju na goba,viwanja vingi havina hati,mtu anakukatia eneo mnaandikishiana kisheria na kiserikali mnamalizana,suala la kupima na kushughulikia hati process unafanya wewe mwenyewe,ukibahatika kupata chenye hati kabisa gharama lazima iwe kubwa na pia kwenye kubadilisha umiliki wizarani ni lazima ulipie,hivyo njoo nikuuzie kiwanja madale ninavyo vitatu,then process ya kupima nitakusaidia kwa kukuunganisha na jamaa zangu nilisoma nao chuo wao ni ma-surveyor wapo wizara ya ardhi,ofisi ya ardhi kinondoni nk ili waje wakupimie na wakupe michoro kwa hatua za kuprocess hati,napatikana kwa namba 0786 294545
 
Viwanja vyako vina ukubwa gani? Sh ngap?
 
nimekuwekea namba ya simu kurahisisha mawasiliano hivyo piga simu kisha tupange twende nikakuonyeshe,huoni kama nimekurahisishia!!!
 
jana jumamosi nimewauzia watu wawili mmoja kachukua hatua 25 kwa 30 na mwingine kachukua hatua 30 kwa 30,hivyo kama na wewe ni mhitaji serious namba hiyo hapo na ni vizuri ukaja physically mahali vilipo
 
Kibaha vinaanzia bei gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…