A Aunty kemmy Member Joined Dec 13, 2013 Posts 46 Reaction score 23 Nov 27, 2016 #1 Habari zenu wanajf Natafuta kiwanja maeneo ya boko, Bunju, madale na mbweni.Nataka kilichopimwa tayari na kama kina hati ititakuwa vizuri zaidi. Mwenye nacho andika na bei kabisa na ukubwa gani.
Habari zenu wanajf Natafuta kiwanja maeneo ya boko, Bunju, madale na mbweni.Nataka kilichopimwa tayari na kama kina hati ititakuwa vizuri zaidi. Mwenye nacho andika na bei kabisa na ukubwa gani.