Natafuta Kitabu cha Abunuwasi

Natafuta Kitabu cha Abunuwasi

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
520
Habari zenu wandugu,
natafuta kitabu cha [Hekaya za Abunuwasi] hata kwa kununua ....kikiwa softcopy (pdf) au hardcopy ni sawa tu...ni PM kama unacho tufanye business..
 
Mkuu nenda Uchumi supermarket vipo ht vya alfu lela u lela..ingawa naona ni version mpya bt hadithi ni zilezile.
Uchumi hawana hekaya za abunuwasi...wanasema vinauzwa kenya/ yani nimeshindwa kuamini kitabu cha kiswahili...kikosekane Dar ...halafu kinauzwa kenya tu...
 
Uchumi hawana hekaya za abunuwasi...wanasema vinauzwa kenya/ yani nimeshindwa kuamini kitabu cha kiswahili...kikosekane Dar ...halafu kinauzwa kenya tu...

Mkuu ukifanikiwa kukipata pliz ni update nakitafuta pia tangu nikipoteze changu dah...
Hivyo vya alfu lela ulela vipo kibao hata pale duka la bitabu mtaa wa samora nimeviona ila vya abunuasi sikuvipata.
 
hivi vitabu vya abunuwasi na mfalme ju.ha vinatafutwa sana katika awamu hii ya 5 bado nafanya utafiti kujuwa sababu.
Hapana mkuu usijichoshe.
Hiki kitabu kimeanza kuuliziwa muda mrefu sana na sio awamu pekee.
Angalia huu uzi ni wa lin...utagundua hilo.
Pia kuna nyuzi nyingine ambayo ilishazungumzia juu ya vitabu hivi.
 
Sasa hv page ya Mange Kimambi ndo inatafutwa sana...
Yan mtu atajibana wee. Apate tu bundle kwaajili yaku peruzi kwa Mange
 
Uchumi hawana hekaya za abunuwasi...wanasema vinauzwa kenya/ yani nimeshindwa kuamini kitabu cha kiswahili...kikosekane Dar ...halafu kinauzwa kenya tu...
Kama vipi mcheki Abunuasi mwenyewe anaweza akawa nacho
 
Mwenye hivyo vitabu atupie basi hapa na sie tupate , Pia mwenye kibabu cha NJAMA kimeandikwa Elvis Msiba atipie hapa jamani kwenye PDF au ani PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom