noel oga JF-Expert Member Joined Oct 20, 2015 Posts 277 Reaction score 230 Jul 9, 2025 #1 Mwenye kioo cha sasmsung s9 nicheki 0766205600.simu imevunjika kioo na ina taarifa za muhimu.p
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,300 Jul 9, 2025 #2 Pole
D delp307 Senior Member Joined Oct 10, 2017 Posts 193 Reaction score 130 Jul 10, 2025 #3 noel oga said: Mwenye kioo cha sasmsung s9 nicheki 0766205600.simu imevunjika kioo na ina taarifa za muhimu.p Click to expand... Nenda kariakoo , mtaa wa uhuru, opposite na shule ya Benjamin mkapa Kuna maduka ya simu kule. , ingia ndani ya maduka , usiwape wale mafundi wanaoka mezani nje . Bei ya kioo namba Moja ni 180,000 bei ya kioo namba mbili ni 90,000 hadi 100,000
noel oga said: Mwenye kioo cha sasmsung s9 nicheki 0766205600.simu imevunjika kioo na ina taarifa za muhimu.p Click to expand... Nenda kariakoo , mtaa wa uhuru, opposite na shule ya Benjamin mkapa Kuna maduka ya simu kule. , ingia ndani ya maduka , usiwape wale mafundi wanaoka mezani nje . Bei ya kioo namba Moja ni 180,000 bei ya kioo namba mbili ni 90,000 hadi 100,000