Agiza online hakifiki $5, japo ni makosa yako mwenye kutoangalia risk, kwasabu sionagi sababu ya camera kuwa exposed hivyo, very poor design by TECNOView attachment 3155181
Nisaidieni jinsi ya kupata au sehemu ya kupata kioo cha nyuma ya simu kwenye camera tecno spark 30c