Natafuta kioo cha laptop compact presario CQ56

Natafuta kioo cha laptop compact presario CQ56

Joined
Nov 13, 2018
Posts
8
Reaction score
4
Habari wana jamvi nipo natafuta kioo laptop ambayo ni hiyo niliyoitaja hapo juu.pia kiwe cha led na ni nchi 15.6 kama sijakosea.
Taja bei na namba ya simu tufanye biashara
JPEG_20210221_080143_947216758493514457.jpg
JPEG_20210221_080217_7179068067319518480.jpg
 
Back
Top Bottom