Natafuta kioo cha display

Natafuta kioo cha display

JayJay11

Senior Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
136
Reaction score
139
Habari zenu
Simu yangu aina ya Samsung J5 imevujiwa wino kwenye display, natafuta mtaalamu au mahali ambapo wanabadilisha kioo kwa uhakika
Kama yupo anisaidie tafadhali...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom