Natafuta Kijana wa Mauzo-Iringa

Natafuta Kijana wa Mauzo-Iringa

imeldaB

Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
39
Reaction score
68
Habari za weekend. Natafuta Kijana miaka 20-35 mwenye uwezo mkubwa wa ushawishi katika masoko. Sisi tuna kiwanda kidogo na bidhaa zetu zinasambazwa Kwa Pikipiki na Gari ndogo.
Malipo ni Kwa njia ya commission.
Kwa maelezo zaidi njoo inbox.
 
Habari za kazi ndugu mpo iringa sehemu gani na ni kowanda cha biidhaa gani
 
Habari za weekend. Natafuta Kijana miaka 20-35 mwenye uwezo mkubwa wa ushawishi katika masoko. Sisi tuna kiwanda kidogo na bidhaa zetu zinasambazwa Kwa Pikipiki na Gari ndogo.
Malipo ni Kwa njia ya commission.
Kwa maelezo zaidi njoo inbox.
Weka jina la ofisi, sisi wazee wa kimila tuje tubaliki kazi yako.
 
Back
Top Bottom