Sio katapanda tu!Safi, good opportunity kwa kijana aliye tu mtaani. Ongezea pia kuwa akifanya vizuri hako kamshahara katapanda.
Hata profesa haina shidaAnahitajika awe na elimu gani?
Ameshapatikana?Hata profesa haina shida
. Hahahahahah hiki kicheko nlichocheka ni sawa na 60 cjui hiyo kaziNilijua laki sita kumbe efu 60 kwa mwenzi khaaa hapo bado kusafisha zizi, kuchunga ng'ombe na kuwalinda harfu upo njee ya mji aisee.......
Mkuu tafuta ndgu yako ukuafnyie hyo kazi.