Mbona hela ndogo sana mkuu?Natafuta kijana wa kiume anayejua kutunza ng'ombe. Awe anajua kukamua maziwa pia
Mahali: Bagamoyo
Mshahara: 70000 kwa mwezi + atapewa chumba cha kukaa + atapewa chakula
Kama unaitaji nchek 0710660264
hapa ndio mnashindwa kuelewa, kuna vijana kibao wapo vijijini ukienda huko wanakwambia mimi nipo tayari kufanya kazi yoyote.Unatafuta mkamua maziwa ya Ng'ombe hapa JamiiForums, nadhani unatania.
Nipe kazi hiyo boss licha Sina uzoefu nayo ila Nina shidahapa ndio mnashindwa kuelewa, kuna vijana kibao wapo vijijini ukienda huko wanakwambia mimi nipo tayari kufanya kazi yoyote.
lengo hapa sio aliyepo humu bali ni connection ndio inayoitajika na kuna madalali humu jf wanaiweza hiyo kazi.
wewe ukiona mada haikuhusu unaachana nayo ila ujue wapo inaowahusu.
Umeelezea vizuri Kaka , sio lazima uwe wewe ... Lakin kama Una MTU unamfaham anaitaji kaz ... Kazi ipohapa ndio mnashindwa kuelewa, kuna vijana kibao wapo vijijini ukienda huko wanakwambia mimi nipo tayari kufanya kazi yoyote.
lengo hapa sio aliyepo humu bali ni connection ndio inayoitajika na kuna madalali humu jf wanaiweza hiyo kazi.
wewe ukiona mada haikuhusu unaachana nayo ila ujue wapo inaowahusu.