Natafuta kifusi cha lami Dar es salaam

Natafuta kifusi cha lami Dar es salaam

Fasta

Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
23
Reaction score
4
Mm niko Dar es salaam,natafuta kifusi cha lami,ambaye anafahamu kinapopatikana kwa hapa Dar es salaam naomba anifahamishe,ikiwezekana na bei pia,mawasiliano ni 0763 47 47 73
 
mm niko dar es salaam,natafuta kifusi cha lami,ambaye anafahamu kinapopatikana kwa hapa dar es salaam naomba anifahamishe,ikiwezekana na bei pia,mawasiliano ni 0763 47 47 73


nenda ngao saccos pale mwenge kama unaenda tegeta lami ipo iloondolewa wakati wa upanuzi wa barabara ya mwenge tegeta hope kinauzwa na jwtz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom