Natafuta kifusi cha bei rahisi

Kama unataka kifusi cha bure unaweza kukipata Ila utachajiwa usafiri. Mwisho wa siku ni kitu kilekile
 
Kama unataka kifusi cha bure unaweza kukipata Ila utachajiwa usafiri. Mwisho wa siku ni kitu kilekile
unafuu utapatikana mkuu. we nipe mchongo tu. nataka nikipeleke pugu
 
Fuata ushauri wa mikopo kichefuchefu hapo juu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…