fetty muka
New Member
- Oct 20, 2016
- 3
- 1
Habari zenu wana jf ,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22 mkazi wa Mbagala DSM. Natafuta kibarua chochote cha halali. Kwa yoyote mwenye uhitaji tuwasiliane 0716469200. Elimu yangu ni kidato cha nne.