torobiz
Member
- Jun 17, 2014
- 73
- 44
Habari zenu wadau wa jf
Natafuta kibarua chochote iwe kiwandani,dukani,supermarket nk, tusaidiane katika hilo nipo Dar ila kama inapatikana hata mkoani naenda tu...
Mawasiliano yangu ni yohanembele@gmail.com..NISAIDIE