princ kadur
Member
- Mar 12, 2020
- 63
- 55
Huyu huyu wa chalinze mkuu?ngoja nikutumie namba ya Ridhwan kikwete
ndio..mtoto wa raisi mstaafuHuyu huyu wa chalinze mkuu?
Sawa mkuundio..mtoto wa raisi mstaafu
Shukran mkuu kwa ushauri.Nakupa ushauri nenda pale machinjioni nunua utumbo na kwato za elfu 70 Kisha njoo hapo njiapanda kwa idd chamsha vzr kongoro na utumbo uive vzr
Pale hakuna anae uza kongoro kwa SAS Wai hiyo fursaa mtaji jumla laki na nusu kila kitu Hadi saa tatu zausku umeuza laki tatu toa zaga zote uanzo elf 50 yako kwa siku Kisha 50000/ x 30 day uanpata 1500,000 je utatataka Kaz gani tena
Shukran mkuuPole mkuu ila panua wigo wako wa kutafuta riziki, chukua kozi ya udereva wa magari makubwa, pata driving licence +nenda AA upate international one(ingawa sio muhimu sana),tafuta passport, omba ndugu na marafiki wakuchangie few usd, elekea Poland [emoji1200], madereva wa trunks huko ni hot [emoji91] cake kwa sasa, pigana maana Zimbabweans na zambians nao wanaelekea huko,good luck