NATAFUTA KIBARUA / AJIRA

NATAFUTA KIBARUA / AJIRA

salim72

New Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
3
Reaction score
0
Natafuta kibarua cha aina yoyote niweze kujikimu na maisha wana forum nimeshindwa kuendelea na elimu yangu ya juu yaani degree nimeweza kusoma kwa miaka miwili tu kutokana na ukosefu wa ada nimeshindwa kujiendeleza hvyo naja mbele yenu nyinyi wandugu mnisaidie hata kujikimu na maisha kwa kunipatia kibarua chochote
 
Ulikuwa unasomea nini ndugu
 
Kama unaweza kuuza duka la maji na soda la jumla na rejareja singida nitafute kwa namba 0622710020 tuongee tukikubaliana uanze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom