Natafuta kibanda au frame ya biashara ya genge

kisendo

Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
53
Reaction score
27
Habari ndugu zangu,

Natafuta kibanda au frame ya biashara ya genge au vitu vya sokoni.

Frame iwe maneno ya Sinza, Tabata, Kinondoni, Kigamboni..

Mwenye nayo tuwasiliane DM
 
Njoo PM-IPO KIGAMBONI
 
Back
Top Bottom