Natafuta kazi

Natafuta kazi

gosheni5

Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
14
Reaction score
5
Habarini jamani kwanza kabisa naomba msinizodoe mimi ni msichana nina miaka 27 natafuta kazi Mwanza nimesoma business administration nime specialize kwenye procurement and supplies nina diploma natamani nipate kazi ili niweze kujiendeleza kielimu...Mungu awabariki sana
 
DAH pole sana ila ucikate tamaa endelea kutafut
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom