Natafuta kazi

Natafuta kazi

happy123

Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
28
Reaction score
43
habari zenu,Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 26 nipo Dar Elimu yangu ni kidato cha sita natafuta kazi yeyote ya halali naomba msaada wenu waheshimiwa Mbarikiwe...
 
Habari.
Nimeona post yako unatafuta kazi nibeep kwenye no +255 656 268 725
 
habari zenu,Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 26 nipo Dar Elimu yangu ni kidato cha sita natafuta kazi yeyote ya halali naomba msaada wenu waheshimiwa Mbarikiwe...

Fanya mpango jiunge na chuo kikuu kama unazo qualification zote kwani umeacha padogo sana ili uwe na uhakika na maisha
 
Kama unaweza kufanya kazi za masoko hapa dar ni pm nikupe maelezo zaidi
 
Angekuwa mwanaume hapo balaaa zingesomwa na kukaushaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom