maisha magumu jmn, natafuta kazi ya kuuza duka, usafi wa maofini na nyingnezo isipokuwa za baa na lodge, elimu yangu ni form four.

Kha! kazi za lodge na Bar ndio nzuri zina malupulupu mengi. Umeolewa au uko single?
Uko wap.
Niko Uvinza, tuwasiliane
Mi natafuta mpishi nipo mwanza
Yes nyumbani