Natafuta kazi

Natafuta kazi

Totoz

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
99
Reaction score
18
Habari ndugu zangu mimi ni kijana wa kitanzania. nipo hapa mbele yenu kuomba msaada wakunisaidia ajira nimesomea uwandishi wa habari na nikafanikiwa kujitolea katika ofisi mbalimbali. nimejikuta anajitolea kwa muda mrufu bila mafanikio zaidi nikusifiwa utendaji wangu wa kazi. nikaona bora notudi shule na nikasomea kitu kingine ambacho no public realation and markerting. naomba msaada wenu ndugu zangu kunisaidia ajira itakayo weza kunifikisha katika kutimiza ndoto zangu. kwa wanaojua kazi za public relatio nadhani mnajua iko upana gani. kwenye uwezo wa kutaka kunisaidia tafadhali ni MP namba yako au maelezo. asante. Tanzania ya leo ni yetu sote tushirikiake katika kuijenge ili kesho itumike kwa kizazi chetu
 
CCM mbele kwa mbele
 
We sio mwandishi Wa habari !wewe ni "Muwandishi Wa habari" MP-badala ya PM, ...Uwandishi wa habari badala ya Uandishi Wa habari...One thing itakusaidia ata kupata kazi..."Re-chek before you send" ikiwezekana hata barua zako za kazi mpe rafiki yako unaemwamini apitie...Remember "Smart people always get jobs" ulikuwa hupati sababu we sio smart ...Good lucky ..
 
good luck mkuu na sio good lucky hata wewe sio smart
 
We sio mwandishi Wa habari !wewe ni "Muwandishi Wa habari" MP-badala ya PM, ...Uwandishi wa habari badala ya Uandishi Wa habari...One thing itakusaidia ata kupata kazi..."Re-chek before you send" ikiwezekana hata barua zako za kazi mpe rafiki yako unaemwamini apitie...Remember "Smart people always get jobs" ulikuwa hupati sababu we sio smart ...Good lucky ..

hahahah ungekuwa mungu ningesema nisamehe mola wangu naomba nafasi nyingine lakini wewe mwenye mapungufu tena zaidi yangu walaaaa hata sishituki maana kama huo usmart unaouzungumzia hata wewe hauna. Poleee hauwezi haribu kitu kwenye maisha yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom