Majhura fikiri
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 121
- 13
Kwa jina naitwa majhura musimu ni mkazi wa kigoma nina umri wa miaka 20 imebahatika kumliza kidato cha nne nikapata four sina kazi mjini af maisha ya home magumu nisaidieni wadau?
Kwa jina naitwa majhura musimu ni mkazi wa kigoma nina umri wa miaka 20!!! Nmebahatka kumlza kidato cha nne nikapata four cna kazi mjini af maixha ya home magumu nisaidieni bac wadau?
baba kaz ngum hasa km hauna ujuzi wowote.Kwa jina naitwa majhura musimu ni mkazi wa kigoma nina umri wa miaka 20!!! Nmebahatka kumlza kidato cha nne nikapata four cna kazi mjini af maixha ya home magumu nisaidieni bac wadau?
Kama unaona kulima ni ujinga..basi endelea kutafuta kazi ya hadhi yako ya form four..
nitumie picha yako pm
Kijanaa unanishangaza,, mmu ulikuwa unatafuta msichana,, sasa unatafuta kazi... Nisikuvunje moyo ngoja waje wanaotafuta watu wa kuwaajili,,, ila ushauri wangu.. Ww ni bado kijana mdogo kwann usirudie mtihani ujipange upya... Umri wako unaruhusu ehe...
kwanza huna uhakika kama unatafuta kazi mana heading yako inakiulizo "natafuta kazi?". pili form4 na div four manake darasa la saba ilo, cha kufanya apo jishugulishe na kazi yoyote ya kukupatia kipato kama kubeba mizigo au kulima n.k. ukileta usharobalo unataka kazi ya ofic bila elim utaishia jela tu. navyojua ajira za walio na elim ya chini kama yako ni nyingi kuliko ajira za waliosoma kama diploma,degree na kuendelea. kaza mtoto wa kiume.
baba kaz ngum hasa km hauna ujuzi wowote.
Chonde chonde usije ukajihusisha na ujambazi!
Ndo maana umefeliOk taenda....but zana ndo tatzo
Aisee una kichwa kigumunikutumie picha yangu?
ujuzi ninao mkuu nilio jaliwa na mungu kufunga wireling nyumba na weza tatizo cheti afu pesa ndo tatizo kubwa