Natafuta kazi

Natafuta kazi

Amoury94

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
89
Reaction score
37
Habar wanajukwaa, mimi ni kijana miaka 21 natafuta kazi ya halali yoyote ile ya kujikimu kimaisha nipo Dar
Elimu ni kidato cha sita
 
jeshi la polisi wametoa form za kujiunga kwa form six kwenye web yao nenda kale maisha mdogo wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom