Natafuta kazi

Natafuta kazi

Joined
Apr 12, 2015
Posts
17
Reaction score
5
jaman naitwa SAM naishi dar-es-salaam...ni kijana mdogo nimezaliwa mwaka 1991 huko masama kilimanjaro...nimezaliwa ktk familia ya kikristo inayomjua mungu..baba akiwa mchungaji mama akiwa mfanyabiashara tu wakawaida...lkn sijui n mipango ya mungu sijui ya shetani..wazaz wangu hawakuweza kudum ktk ndoa yao...walitengana na kila mmoja anaishi peke ake kwa sasa...tumezaliwa watatu kwetu..mimi wakiume wakwanza nanina wadogo zangu wawili wakike...nimebahatka kusomeshwa na baba had fom four kisha nikapelekwa chuo nikasomea IT kwa level ya chet lkn kutokana na sababu zilizo nnje ya uwezo wangu sikuweza maliza chet...ilikua n baada ya field..last final exams nilishndwa kufanya....kuanzia hapo niliamua kuanza maisha yangu...lkn nikikuja dar na kuanza kazi za kuajiriwa kufanya usafi kwenye ma bar...ya kwanza n moshi hotel ipo tip top...after nikitoka apo nikahamia kuanza kukaanga chips...hapo ndpo kaz ya usafi ilipoishia nikaanza vbarua vya chips..mpk nikafanikiwa kupanga...na kuanza maisha yangu..lkn siku moja nikiwa kazin nilipata matatzo ya kuuungua miguu na moto...ikabd kuacha kaz na kuja kukaa nyumban kujiuguza...mpk sasa nimepona....
LENGO
LA POST HIII NI KUULIZA VIJANA WENZANGU.WAZAZI WANGU..NDUGU ZANGU..ANAE WEZA NISAIDIA KUJUA MAHALI NNAPOWEZA KUPATA KAZI YA AINA YEYOTE ILE MIMI NITAFANYA....IWE YA KULIPWA KWA SIKU AU KWA MWEZI NIKO TAYARI....NAOMBENI MSAAADA WENU NDUGU ZANGU..NAISHI MBEZI YA KIMARA NIMEPANGA..NA NAISHI PEKE ANGU...NAWASILISHA OMBI LANGU KWENU KWA YEYOTE MWENYE USHAURI AU ANAPOJUA ANAWEZA KUNIELEKEZA NIKAENDA KUFANYA KAZI NIPO TAYARI...NAMBA ZANGU ZA MAWASILIANO KWA ALIE NA MOYO WA KUNISAIDIA NI VODA_=0766576051,TIGO=0653321010,AIRTEL=0787725405 AU kama nitakua sipo hewani na unania ya dhati yakutaka kuongea nami...naomba pga 0762845915...NiNamba za rafiki yangu mpgie muombe kuongea na SaM atanipa sim yake nitaongea nawe...ASANTE NA MUNGUBWA MBINGUNI AWE PAMOJA NANYI.
 
Du, pole sana mdogo wangu, Mungu akusaidie upate kazi na ukishapata usiwe mchoyo.
 
Tamalisa ndugu yangu..naamini si mimi peke yangu mwenye uhitaji huo...ki ukweli nisiseme kitu ila MUNGU anaijua DHAMIRA iliyo ndani ya moyo wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom