mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Mimi ni kijana wa miaka 20
Nina uzoefu wa miaka miwili katika uuxaji wa duka la vito vya thamani
Natafuta ajira yoyote yenye kufanana na hio au ya stationary.
Ninaishi kigogo na ni mtanzania halisi
Asanteni
Nitafute takupm
namimi uni pm loh!
Hahahahaaaa wewe tena swaiba...!
eeh Naisubiria tena kama uliyomtumia!!!usipunguze wala kuongeza chochote
Wewe ni jinsia gani,dini gani,unahtaji mshahara kiasi gani?njoo pm
Ngoja wenye nazo waje.
Wewe ni jinsia gani,dini gani,unahtaji mshahara kiasi gani?njoo pm