Habari zenu wadau, mim ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina diploma ya sales and marketing vilevile niko vizuri kwenye mambo ya customer care, na computer pia naweza kutumia kwa mtu yoyote anayehitaji mtu wa namna hii au ana mtu anayemfahamu please contact me through rosejulius41@yahoo.com