Napenda kujitokeza katika safu hii, natafuta kaz ya yoyote ya ofisin ambayo itaendana na sifa yangu
Nina elimu ya kidato cha NNE
Nina foundation stage 2 certificate ya procurement and supplies from PSPTB
Pia nina ujuz wa kutumia computer
Nina certificate ya basic computer na certificate ya IT technology.
Naomba msaada wenu.