Natafuta kazi

Natafuta kazi

Kama kuna mtu anajua info kuhusiana na hil tuwasiliana kupitia 0655201577/athumanramadhan99@yahoo.com
 
Fanya mpango ukalime. Ndani ya mwaka mmoja unatoka. Hiyo ndiyo ajira ya uhakika. Hizi za serikali full mawazo
 
Mkuu nami nataka nilime ila mtaji wangu mdogo sasa ni kilimo gani kinaweza kuwa NA tija na nikapata fedha za kujikimu na nikafaidika ...
Nami nimehitimu diploma ya business hapa dar es salaam...
Naombeni msaada ktk hili kwani nataka nilime ,nina ardhi hapa dar es salaam-MKURANGA EKARI 10...
 
Elimu n jela tuliojitengenezea wenyewe, Miaka yoooote uliojitolea kusoma inakua sawa na kazi bure,

kuna saut inaniambia "Kwanini huyu mtu asingelima tokea mwanzo? " miaka mingi imepotea bure
 
Nilitaka nikasomee kilimo,, sasa naacha naenda ualimu maana umenikatisha tamaa
 
kaa bench(sub) kwanza wa2 tumemaliza 2012 bado tupo mtaanii,,,,kama vipi sugua bench na shuhuri ndogondogo ukifikiria ajira sa ivi hauna at transcript uatapata bp ya bure
 
Kwa kuanzia tikiti yaweza kukufaa kilicho na gharama zaidi ni mbegu,
au unaweza ukakomaa ukafanya kilimo cha mbogamboga into large scale ukapambana kutafuta soko,
na mwisho kabisa,mkodishie mtu heka tano hiyo pesa ya malipo unaweza kutumia kulima heka tano zilizobakia..
Mkuu nami nataka nilime ila mtaji wangu mdogo sasa ni kilimo gani kinaweza kuwa NA tija na nikapata fedha za kujikimu na nikafaidika ...
Nami nimehitimu diploma ya business hapa dar es salaam...
Naombeni msaada ktk hili kwani nataka nilime ,nina ardhi hapa dar es salaam-MKURANGA EKARI 10...
 
Kama kuna mtu anajua info kuhusiana na hil tuwasiliana kupitia 0655201577/athumanramadhan99@yahoo.com

Ajira za kilimo ni nyingi mkuu hebu nenda zoomtz ukaone zilikuwepo nyingi ila cjui kama deadline ilisha kata if possible ntafute nkuelekeze. rayman.mwangosi@yahoo.com
 
Elimu n jela tuliojitengenezea wenyewe, Miaka yoooote uliojitolea kusoma inakua sawa na kazi bure,

kuna saut inaniambia "Kwanini huyu mtu asingelima tokea mwanzo? " miaka mingi imepotea bure
ushajiuliza hao wanaolima toka mwanzo wako wapi mpaka sasa?

mkuu elimu ina umuhimu mkubwa sana katika kuleta mabadiliko katika nyanja zote za PESTEL, kumbuka lengo la elimu ni nini hasa, elimu si ajira!!
 
Back
Top Bottom