Natafuta kazi

Natafuta kazi

Lucy Mbasha

Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Mimi ni binti nina miaka 27, nimesomea mambo ya maendeleo ya jamii (community development). Nina diploma ya community development.

Naomba mwenye kuweza kunisaidia kupata hata sehemu ya kujitolea.

Asanteni sana
 
Uko wapi na umemaliza iyo Diploma toka chuo kipi na kwa gpa ipi pia? Are u sure uko ready kufanya kazi bila malipo except posho ndogondogo kama nauli na matibabu?
 
weee acha maswali mengi unaweza kweli kumsaidia na si kumchanganyia lugha weee vip?
 
Uko wapi na umemaliza iyo Diploma toka chuo kipi na kwa gpa ipi pia? Are u sure uko ready kufanya kazi bila malipo except posho ndogondogo kama nauli na matibabu?

nipo Tayari Kaka Yangu.
nimemaliza Rungemba college.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom