beb v Member Joined Jun 26, 2014 Posts 12 Reaction score 1 Jul 11, 2014 #1 Nimemaliza degree ya Human Resources Managment na nina uzoefu wa kaz za administration kwa miaka mitano jmn tusaidiane
Nimemaliza degree ya Human Resources Managment na nina uzoefu wa kaz za administration kwa miaka mitano jmn tusaidiane
yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Jul 11, 2014 #2 beb v said: Nimemaliza degree ya Human Resources Managment na nina uzoefu wa kaz za administration kwa miaka mitano jmn tusaidiane Click to expand... ingia zoomtanzania mbona zipo kibao ww tu kuapply.....na serikali imetoa post za hr mwisho leo...ulikua wapi lkn???
beb v said: Nimemaliza degree ya Human Resources Managment na nina uzoefu wa kaz za administration kwa miaka mitano jmn tusaidiane Click to expand... ingia zoomtanzania mbona zipo kibao ww tu kuapply.....na serikali imetoa post za hr mwisho leo...ulikua wapi lkn???